Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

WANANDOA WAWILI WAJITIA KITANZI USIKU WA KUAMKIA LEO MTAANI GITHURAI

Like0 Dislike0

By Francis Mandi
Hofu imetanda katika mtaa wa Githurai jijini Nairobi, baada ya wanandoa wawili kujitia kitanzi usiku wa kuamkia leo.
Duru zinaarifu kwamba wawili hawa ambao wameacha nyuma watoto wawili, wamekuwa na mizozo ya mara kwa mara.
Akidhibitisha kisa hiki OCPD katika kaunti ya Kiambu Duncan Ngutu, amesema kwamba huenda marehemu alimuua mkewe kwanza, kabla ya kujitia kitanzi.
Kadhalika bwana Ngutu amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa dhidi ya vifo vya wawili hawa
Waiwili hawa wameacha ujumbe wakidai kuzikwa katika kaburi moja.

Tuesday, November 22, 2016

Add new comment

Filtered HTML

  • Web page addresses and e-mail addresses turn into links automatically.
  • Allowed HTML tags: <a> <em> <strong> <cite> <blockquote> <code> <ul> <ol> <li> <dl> <dt> <dd>
  • Lines and paragraphs break automatically.

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Web page addresses and e-mail addresses turn into links automatically.
  • Lines and paragraphs break automatically.
CAPTCHA
This question is for testing whether or not you are a human visitor and to prevent automated spam submissions.
Image CAPTCHA
Enter the characters shown in the image.
Back to Top