Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

WENYEJI WAMKEMEA VIKALI GAVANA DOYO MBELE YA RAIS

Gavna wa kaunti ya isiolo Godana Doyo akihutubia wenyeji Isiolo Mjini

Like0 Dislike0

By Frnacis Mandi
Gavana wa kaunti ya Isiolo Godana Doyo hii leo amepata wakati mgumu mbele ya rais Kenyatta, baada ya wenyeji kukataa katakata kumuazima maskio yao wakati wa ziara ya Rais katika kaunti ya isiolo.
Wenyeji waliokuwa na ghadhabu dhidi ya uongozi wake, wanadai kwamba umejawa na ufisadi, huku wakimkemea kwa nyimbo za matusi na kumtaja kama asiyewajibika kwa wadhifa aliopewa miaka minne iliyopita.
Rais Kenyatta alikuwa amezuru kaunti ya isiolo kuwarai wenyeji kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha kama wapiga kura, katika awamu ya pili nay a mwisho iliyong’oa nanga mapema wiki hii.

Friday, January 20, 2017

Add new comment

Filtered HTML

  • Web page addresses and e-mail addresses turn into links automatically.
  • Allowed HTML tags: <a> <em> <strong> <cite> <blockquote> <code> <ul> <ol> <li> <dl> <dt> <dd>
  • Lines and paragraphs break automatically.

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Web page addresses and e-mail addresses turn into links automatically.
  • Lines and paragraphs break automatically.
CAPTCHA
This question is for testing whether or not you are a human visitor and to prevent automated spam submissions.
Image CAPTCHA
Enter the characters shown in the image.
Back to Top