Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

Addthis

Email, Print, send to Twitter, send to Facebook, and more

News

Thursday, June 21, 2018

Mwanamke atilia wanawe wanne sumu na kisha kujiua

By Francis Mandi
Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha Sumek eneo la Rongai kaunti ya Nakuru, baada ya mwanamke mmoja kutilia watoto wake wanne sumu kwenye chakula na kisha kujiua kufuatia mzozo wa kinyumbani na bwanake.
Venny Koech pia anadaiwa kujaribu kuwakatakata wanawe...

Tuesday, June 19, 2018

Kabras Sugar company, West Kenya denies dealing in contraband sugar, says sugar seized in Eastleigh not theirs

A total of 1,474 counterfeit bags of sugar and several liters of cooking oil were confiscated in a warehouse in Eastleigh.Three suspects were arrested during the operation.

By Machuki Dennson
West Kenya Sugar Company Limited has denied reports that it deals in contraband sugar after several sacks of sugar were seized in Eastleigh Naiorbi on 5th of June 2018.
The company on Tuesday released a statement distancing itself from the proprietors of the sugar...

Monday, June 18, 2018

KESI DHIDI YA POLISI BANDIA JOSHUA WAIGANJO KUSIKILIZWA UPYA

Polisi Bandia Joshua Waiganjo (picha kwa Hisani)

By Francis Mandi
Afisi ya Mkrugenzi wa mshtaka ya umma nchini, sasa inataka kesi dhidi ya Polisi bandia Joshua Waiganjo kufunguliwa upya.
katika Waraka ulitumwa kwa mahakama na Mwendesha mshtaka katika ofis hii Bii Sandra Kosgey, Afisi hii imeitaka mahakama kuweka kando amri...

Thursday, June 14, 2018

EZRA CHILOBA KUREJEA KAZINI

Afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba

By Francis Mandi
Afisa mkuu mtendaji katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC bwana Ezra Chiloba, amepata afueni baada ya mahakama ya uajiri na leba kuamrisha arejee kazini.
Chiloba alikuwa amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwenyekiti wa IEBC wafula Chebukati na maafisa...

Thursday, June 14, 2018

Ajuza wa miaka 93 abakwa na kuuwawa kinyama kaunti ya Embu

photo/File

By Francis Mandi
Wakaazi wa kijiji cha kithimu kaunti ya Embu, wangali katika hali ya mshangao baada ya ajuza mmoja mwenye umri wa miaka 93 kupatikana akiwa amebakwa na kuuwawa nyumbani kwake.
Mwili wa ajuza huyu ulipatikana na mjukuu wake ambaye alikuwa ameenda kumjulia hali, na...

Wednesday, June 13, 2018

KATIBU WA MASWALA YA VIJANA LILIAN OMOLLO AREJESHWA RUMANDE

Katibu Lillian Omollo wa maswala ya Vijana. Picha kwa hisani

By Francis Mandi
Katibu wa masuala ya viajana lilian Omollo amerejeshwa rumande hii leo baada ya kuruhusiwa kuondoka hospitalini ambako amekuwa akipokea matibabu.
Omollo ambaye anakabiliwa na sakata ya mabilioni ya pesa katika shirika la vijana wa huduma kwa taifa NYS, amekuwa...

Tuesday, June 12, 2018

WAZIRI FRED MATIANG'I ATANGAZA SIKU YA IJUMAA TAREHE 15 KUWA SIKUKUU YA KITAIFA KWA MAADHIMISHO YA IDD

Barua kutoka Afisi ya Waziri Fred Matiang'i

By Francis Mandi
Waziri wa usalama wa ndani nchini Daktari Fred Matiang'i ametangaza siku ya ijumaa tarehe 15 mwezi huu kuwa sikukuu ya kitaifa. Hii ni kufuatia maadhimisho ya sikukuu ya IDD-UL-FITR ambayo ni kilele cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Tuesday, June 12, 2018

MAJAMBAZI WAMVAMIA MUUGUZI NA KUMUUA MKEWE KWA KUMMIMINIA RISASI MTAANI NGOINGWA MJINI THIKA

photo/File

By Francis Mandi
Maafisa wa polisi mjini Thika wameanziasha uchunguzi katika kisa ambapo muuguzi mmoja na mkewe walishambuliwa na kumiminiwa risasi na majambazi usiku wa kuamkia leo. Kisa hiki kilitokea mida ya saa saba usiku wa manane katika mtaa wa Ngoingwa mjini Thika, kikimwacha mkewe...

Tuesday, June 12, 2018

MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 63 AZUILIWA NA MAAFISA WA POLISI KWA KUDAIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 5

By Francis Mandi
Maafisa wa polisi katika kaunti ya kakamega wanaendelea kumzuilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 63 kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano. mwanaume kutoka kijiji cha khayega, anasemekana kumfungia mtoto huyu kwa muda wa siku mbili ambapo amekuwa...

Monday, June 11, 2018

Investigators to shed more light on the cause of the plane crash in Njabini.

wreckage of the flysax plane which crashed in Njabini.
PHOTO / COURTESY

By evans mwenda
Multi-agency Accident investigators are expected to give a concrete report, this is after visiting the crash site in Njabini to retrieve the wreckage of the flysax plane that was involved in a tragic crash.
The investigations are expected to shed more light on the...

Pages

Back to Top