Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

Addthis

Email, Print, send to Twitter, send to Facebook, and more

News

Sunday, July 9, 2017

Viongozi wa G20 shikamaneni ili kupambana na changamoto za kimataifa

Papa Francisko amewaandikia wakuu wa Nchi za G20 kuwataka kushikamana katika utekelezaji wa maazimikio na itifaki za kimataifa. - AP

By Vatican Radio
Kuna haja kwa viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kuthamini rasilimali muda katika kupambanana na changamoto ya umaskini, vita na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji. Ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kujenga na kudumisha umoja...

Sunday, June 18, 2017

Baba Mtakatifu aongoza ujumbe wa kutafuta suluhu la utata katika Jimbo Katoliki la Ahiara nchini Nigeria

Papa Francisko akieleza masikitiko yake kuhusiana na kisa cha Mapadre wa Jimbo Katoliki Ahiara, nchini Nigeria kugoma kumpokea Askofu P. E. Okpaleke kwa muda wa miaka minne sasa na kuwaacha waamini pasi na Mchungaji mkuu.

By Vatican Radio

Hivi karibuni mjini Vatican, Baba Mtakatifu Francisko kapokea ujumbe kutoka Nigeria kwa ajili ya kutafuta muafaka wa mamlaka na uangalizi wa kondoo wa Familia ya Mungu jimboni Ahiara. Katika kikao hicho, pamoja na wengine, walikuwepo pia Kardinali John Onaiyekan, Askofu...

Thursday, February 16, 2017

FOOD FOR FEES PROGRAMME LAUNCHED IN ISIOLO COUNTY TO ENSURE LEARNING CONTINUES EVEN AS DROUGHT SITUATION PERSISTS.

Dry vast land of Isiolo due to prolonged drought

BY MOSES MWENDA.

In a bid to ensure that the persistent drought situation in Isiolo County doesn’t hamper proper learning, the National government has partnered with the European Union and the County government to initiate a Kshs 5 Million programme dubbed ‘’FOOD FOR FEES’’.
The...

Friday, February 10, 2017

Pope: Women bring harmony that makes the world beautiful

Pope Francis preaches the homily during the Mass at the Casa Santa Marta on Thursday.

By Vatican Radio
“Without women, there is no harmony in the world.” That was the message of Pope Francis in his homily at the morning Mass at the Casa Santa Marta. At the center of his reflection was creation of woman, as told in Genesis. Men and women are not equal; the one is not...

Friday, January 20, 2017

WENYEJI WAMKEMEA VIKALI GAVANA DOYO MBELE YA RAIS

Gavna wa kaunti ya isiolo Godana Doyo akihutubia wenyeji Isiolo Mjini

By Frnacis Mandi
Gavana wa kaunti ya Isiolo Godana Doyo hii leo amepata wakati mgumu mbele ya rais Kenyatta, baada ya wenyeji kukataa katakata kumuazima maskio yao wakati wa ziara ya Rais katika kaunti ya isiolo.
Wenyeji waliokuwa na ghadhabu dhidi ya uongozi wake, wanadai kwamba...

Friday, January 20, 2017

RAIS KENYATTA APIGA MARUFUKU UUZAJI WA MAHINDI KWA MATAIFA YA KIGENI

Rais Uhuru kenyatta akihutubia wenyeji Isiolo Mjini

By Francis Mandi
Ni hatia kwa wafanyibiashara wa humu nchini kuuza mahindi katika mataifa ya kigeni hadi mwisho wa kiangazi.
Rais uhuru Kenyatta amesema kwamba kufuatia kiangazi ambacho kinazidi kushuhudiwa katika sehemu mbali mbali nchini, ni lazima taifa kwa jumla kwa ushirikiano...

Friday, January 20, 2017

Obama Pens an emotional goodbye letter to Americans

By Shahidi Team

Hours to inauguration of the next United States America's President Donald Trump, the outgoing President Barack Hussein Obama wrote an emotional letter thanking Americans and encouraging them to participate into "daily acts of citizenship. The President recalled tragedies...

Thursday, January 12, 2017

The late Bishop Davies to be laid to rest on 20th January

By Catholic Mirror

The Late Rt. Rev. Colin Davies MHM, Bishop Emeritus of Ngong will be laid to rest on Friday 20th January at a private cemetery in London (England). This will be preceded be reception of the body at Herbert House with Evening Prayer on Thursday 19th.
The requiem...

Wednesday, January 11, 2017

Obama offers optimism -- and warnings -- in farewell address

Chicago (CNN)
Popular but politically humbled, President Barack Obama said goodbye to the nation Tuesday night, declaring during his farewell address that he hasn't abandoned his vision of progressive change but warning that it now comes with a new set of caveats.
His voice at...

Monday, December 26, 2016

Urbi et Orbi! Kilio cha Baba Mtakatifu kwa ajili ya amani duniani!

By Vatican Radio
Baba Mtakatifu Francisko katika salam zake za Noeli kwa mji wa Roma na Ulimwengu katika ujumla wake maarufu kama “Urbi et Orbi”, kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Jumapili tarehe 25 Desemba 2016 amefafanua kuhusu Fumbo la Umwilisho na kiu ya...

Pages

Back to Top