Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

Addthis

Email, Print, send to Twitter, send to Facebook, and more

News

Wednesday, November 22, 2017

President Kenyatta causes stir as he walks to meeting at Treasury

President Uhuru walking along Harambee avenue to the treasury for a meeting.

By (PSCU)
President Uhuru Kenyatta today caused a stir in Nairobi streets as he walked from his office in Harambee House to the the National Treasury building located along Harambee Avenue.
Enthusiastic Kenyans jostled to greet the President with a few individuals managing to shake...

Friday, October 20, 2017

Papa Francisko ana laani mauaji ya kinyama nchini Somalia!

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S.

Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican.
Baba Mtakatifu Francisko, mara baada ya Katekesi yake, Jumatano, tarehe 18 Oktoba 2017 ameonesha masikitiko yake makubwa kutokana shambulio la kigaidi lililotokea hivi karibuni nchini Somalia na kusababisha...

Friday, October 20, 2017

Kardinali Ricardo Vidal kutoka Ufilippini amefariki dunia

Na Padre Richard A. Mjiga, C.PP.S.
Baba Mtakatifu Francisko amesikitishwa sana na taarifa za kifo cha Kardinali Ricardo Vidal, Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo kuu la Cebu nchini Ufilippini kuanzia mwaka 1982 hadi mwaka 2010, aliyefariki dunia, tarehe 18 Oktoba 2017, akiwa na umri wa miaka 86...

Friday, October 20, 2017

AN OPEN LETTER TO PRESIDENT UHURU KENYATTA AND RT. HON RAILA ODINGA

Dispersed demonstrators, protesting against IEBC among other 11 NASA irreducible minimum demands.

By ICJ
Dear Mr. President and Rt. Hon. Odinga,
The Kenyan Section of the International Commission of Jurists (ICJ Kenya) wishes to directly raise concern with Your Excellency President Uhuru Kenyatta and Your Excellency Rt. Hon. Raila Odinga, on the stand-off around the proposed...

Tuesday, July 18, 2017

President Uhuru Kenyatta and Jubilee Coming back to Isiolo again

State House Spokesperson
Manoah Esipisu
President Uhuru Kenyatta is to visit 14 counties in a Campaign blitz over the next week, taking the simple message that he has done building the foundations for prosperity and to urge Kenyans to hand him a second term to finish the job.
...

Monday, July 10, 2017

ALIYEKUWA WAZIRI WA USALAMA WA NDANI JOSEPH NKAISERRY KUZIKWA SIKU YA JUMAMOSI

Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery(Picha Kwa hisani)

By Francis Mandi
Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani marehemu Joseph Nkaissery atazikwa jumamosi hii tarehe 15 nyambani kwake eneo la Ilbisil kaunti ya Kajiado.
Kamati inayoongoza maandalizi ya mazishi chini ya mwenyekiti Waziri Cleopa Mailu imetangaza kuwa ibada ya wafu kwa...

Monday, July 10, 2017

SRC YAPUNGUZA MSHAHARA WA RAIS, NAIBU WAKE NA MAAFISA WAKUU SERIKALINI

Mwenyekiti wa tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi wa uma Sarah Serem katika kikao cha awali.(picha-kwa hisani)

By Francis Mandi
Tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi wa uma nchini SRC, imepunguza mshahara wa rais, naibu wake na maafisa wakuu serikalini.
Katika mapendekezo hayo, yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume hii Sarah Serem, rais atapokea shillingi million 1.4 kutoka shilling...

Sunday, July 9, 2017

Viongozi wa G20 shikamaneni ili kupambana na changamoto za kimataifa

Papa Francisko amewaandikia wakuu wa Nchi za G20 kuwataka kushikamana katika utekelezaji wa maazimikio na itifaki za kimataifa. - AP

By Vatican Radio
Kuna haja kwa viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kuthamini rasilimali muda katika kupambanana na changamoto ya umaskini, vita na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji. Ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kujenga na kudumisha umoja...

Sunday, June 18, 2017

Baba Mtakatifu aongoza ujumbe wa kutafuta suluhu la utata katika Jimbo Katoliki la Ahiara nchini Nigeria

Papa Francisko akieleza masikitiko yake kuhusiana na kisa cha Mapadre wa Jimbo Katoliki Ahiara, nchini Nigeria kugoma kumpokea Askofu P. E. Okpaleke kwa muda wa miaka minne sasa na kuwaacha waamini pasi na Mchungaji mkuu.

By Vatican Radio

Hivi karibuni mjini Vatican, Baba Mtakatifu Francisko kapokea ujumbe kutoka Nigeria kwa ajili ya kutafuta muafaka wa mamlaka na uangalizi wa kondoo wa Familia ya Mungu jimboni Ahiara. Katika kikao hicho, pamoja na wengine, walikuwepo pia Kardinali John Onaiyekan, Askofu...

Thursday, February 16, 2017

FOOD FOR FEES PROGRAMME LAUNCHED IN ISIOLO COUNTY TO ENSURE LEARNING CONTINUES EVEN AS DROUGHT SITUATION PERSISTS.

Dry vast land of Isiolo due to prolonged drought

BY MOSES MWENDA.

In a bid to ensure that the persistent drought situation in Isiolo County doesn’t hamper proper learning, the National government has partnered with the European Union and the County government to initiate a Kshs 5 Million programme dubbed ‘’FOOD FOR FEES’’.
The...

Pages

Back to Top