Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

Addthis

Email, Print, send to Twitter, send to Facebook, and more

News

Friday, February 10, 2017

Pope: Women bring harmony that makes the world beautiful

Pope Francis preaches the homily during the Mass at the Casa Santa Marta on Thursday.

By Vatican Radio
“Without women, there is no harmony in the world.” That was the message of Pope Francis in his homily at the morning Mass at the Casa Santa Marta. At the center of his reflection was creation of woman, as told in Genesis. Men and women are not equal; the one is not...

Friday, January 20, 2017

WENYEJI WAMKEMEA VIKALI GAVANA DOYO MBELE YA RAIS

Gavna wa kaunti ya isiolo Godana Doyo akihutubia wenyeji Isiolo Mjini

By Frnacis Mandi
Gavana wa kaunti ya Isiolo Godana Doyo hii leo amepata wakati mgumu mbele ya rais Kenyatta, baada ya wenyeji kukataa katakata kumuazima maskio yao wakati wa ziara ya Rais katika kaunti ya isiolo.
Wenyeji waliokuwa na ghadhabu dhidi ya uongozi wake, wanadai kwamba...

Friday, January 20, 2017

RAIS KENYATTA APIGA MARUFUKU UUZAJI WA MAHINDI KWA MATAIFA YA KIGENI

Rais Uhuru kenyatta akihutubia wenyeji Isiolo Mjini

By Francis Mandi
Ni hatia kwa wafanyibiashara wa humu nchini kuuza mahindi katika mataifa ya kigeni hadi mwisho wa kiangazi.
Rais uhuru Kenyatta amesema kwamba kufuatia kiangazi ambacho kinazidi kushuhudiwa katika sehemu mbali mbali nchini, ni lazima taifa kwa jumla kwa ushirikiano...

Friday, January 20, 2017

Obama Pens an emotional goodbye letter to Americans

By Shahidi Team

Hours to inauguration of the next United States America's President Donald Trump, the outgoing President Barack Hussein Obama wrote an emotional letter thanking Americans and encouraging them to participate into "daily acts of citizenship. The President recalled tragedies...

Thursday, January 12, 2017

The late Bishop Davies to be laid to rest on 20th January

By Catholic Mirror

The Late Rt. Rev. Colin Davies MHM, Bishop Emeritus of Ngong will be laid to rest on Friday 20th January at a private cemetery in London (England). This will be preceded be reception of the body at Herbert House with Evening Prayer on Thursday 19th.
The requiem...

Wednesday, January 11, 2017

Obama offers optimism -- and warnings -- in farewell address

Chicago (CNN)
Popular but politically humbled, President Barack Obama said goodbye to the nation Tuesday night, declaring during his farewell address that he hasn't abandoned his vision of progressive change but warning that it now comes with a new set of caveats.
His voice at...

Monday, December 26, 2016

Urbi et Orbi! Kilio cha Baba Mtakatifu kwa ajili ya amani duniani!

By Vatican Radio
Baba Mtakatifu Francisko katika salam zake za Noeli kwa mji wa Roma na Ulimwengu katika ujumla wake maarufu kama “Urbi et Orbi”, kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Jumapili tarehe 25 Desemba 2016 amefafanua kuhusu Fumbo la Umwilisho na kiu ya...

Wednesday, December 14, 2016

Naibu wa chifu mkatili anayekula uroda na kisha kumpaka mkewe pilipili asakwa na polisi Meru

Mkewe naibu chifu wa Kiruiru kaunti ya Meru

By Machuki Dennson
Naibu wa chifu mmoja kwa sasa anasakwa na maafisa wa polisi katika kaunti ya Meru kwa kumdhulumu mke wake kimapenzi. Mbiriti Kamathi ambayeni naibu chifu katika kata ndogo ya Kiruiru yuko mafichoni kwa sasa baada ya kina mama waliojawa na ghadhabu kulalamikia vitendo...

Tuesday, November 22, 2016

WANANDOA WAWILI WAJITIA KITANZI USIKU WA KUAMKIA LEO MTAANI GITHURAI

By Francis Mandi
Hofu imetanda katika mtaa wa Githurai jijini Nairobi, baada ya wanandoa wawili kujitia kitanzi usiku wa kuamkia leo.
Duru zinaarifu kwamba wawili hawa ambao wameacha nyuma watoto wawili, wamekuwa na mizozo ya mara kwa mara.
Akidhibitisha kisa hiki OCPD katika...

Tuesday, November 15, 2016

Islam is not terrorism; Kaguthi wants chiefs and the media to take a more active role in security matters

By Machuki Dennson
The chairman for national committee of nyumba kumi initiative Joseph Kaguthi has dispelled the notion that terrorism is in Islam. Speaking on Monday to journalists in Isiolo, Kaguthi expressed hi s great desire for youths to understand the misinformation that they fight...

Pages

Back to Top