Radio Shahidi

Shahidi wa Amani

Addthis

Email, Print, send to Twitter, send to Facebook, and more

News

Thursday, June 21, 2018 | News

By Francis Mandi
Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha Sumek eneo la Rongai kaunti ya Nakuru, baada ya mwanamke mmoja kutilia watoto wake wanne sumu kwenye chakula na kisha kujiua kufuatia mzozo wa kinyumbani na bwanake.
Venny...

Tuesday, June 19, 2018 | News

By Machuki Dennson
West Kenya Sugar Company Limited has denied reports that it deals in contraband sugar after several sacks of sugar were seized in Eastleigh Naiorbi on 5th of June 2018.
The company on Tuesday released a statement...

Monday, June 18, 2018 | News

By Francis Mandi
Afisi ya Mkrugenzi wa mshtaka ya umma nchini, sasa inataka kesi dhidi ya Polisi bandia Joshua Waiganjo kufunguliwa upya.
katika Waraka ulitumwa kwa mahakama na Mwendesha mshtaka katika ofis hii Bii Sandra Kosgey,...

Thursday, June 14, 2018 | News

By Francis Mandi
Wakaazi wa kijiji cha kithimu kaunti ya Embu, wangali katika hali ya mshangao baada ya ajuza mmoja mwenye umri wa miaka 93 kupatikana akiwa amebakwa na kuuwawa nyumbani kwake.
Mwili wa ajuza huyu ulipatikana na mjukuu...

Thursday, June 14, 2018 | News

By Francis Mandi
Afisa mkuu mtendaji katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC bwana Ezra Chiloba, amepata afueni baada ya mahakama ya uajiri na leba kuamrisha arejee kazini.
Chiloba alikuwa amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya...

Wednesday, June 13, 2018 | News

By Francis Mandi
Katibu wa masuala ya viajana lilian Omollo amerejeshwa rumande hii leo baada ya kuruhusiwa kuondoka hospitalini ambako amekuwa akipokea matibabu.
Omollo ambaye anakabiliwa na sakata ya mabilioni ya pesa katika...

Tuesday, June 12, 2018 | News

By Francis Mandi
Waziri wa usalama wa ndani nchini Daktari Fred Matiang'i ametangaza siku ya ijumaa tarehe 15 mwezi huu kuwa sikukuu ya kitaifa. Hii ni kufuatia maadhimisho ya sikukuu ya IDD-UL-FITR ambayo ni kilele cha mfungo wa mwezi...

Tuesday, June 12, 2018 | News

By Francis Mandi
Maafisa wa polisi katika kaunti ya kakamega wanaendelea kumzuilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 63 kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano. mwanaume kutoka kijiji cha khayega, anasemekana kumfungia...

Tuesday, June 12, 2018 | News

By Francis Mandi
Maafisa wa polisi mjini Thika wameanziasha uchunguzi katika kisa ambapo muuguzi mmoja na mkewe walishambuliwa na kumiminiwa risasi na majambazi usiku wa kuamkia leo. Kisa hiki kilitokea mida ya saa saba usiku wa manane...

Monday, June 11, 2018 | News

By evans mwenda
Multi-agency Accident investigators are expected to give a concrete report, this is after visiting the crash site in Njabini to retrieve the wreckage of the flysax plane that was involved in a tragic crash.
The...

Pages

Subscribe to News Feed
Back to Top